Amani ya Bwana iwe daima nanyi enyi nyote,
Hapa SG kuna Neema/Karama/Vipaji/ Akili/ Huduma/Uzoefu/ Ufunuo na NENO KWELI KWELI toka kwa Bwana ndani ya Washirika wa Kanisa hili, nina hakika umekua unajifunza mengi na hata nawe kufundisha mengi na hata leo pia utadaka matamu sana na pia hata kufurahi na kuchekeshwa unapo fellowship sana hapa, raha kweli humu Watu tulio nao.
Maswali ya kuchangia/Muongozo
…..Je, mtu anaweza kutubu dhambi zake kimya kimya au ni lazima aje hadharani kuzisema na kukiri kwa majuto? ?
…….Je, toba ipi yenye nguvu, ile ya kutaja na dhambi ulizofanya aidha ukiwa mwenyewe chumbani au hadharani unatubu au hata kusema tu ” umekuja kwa kua unataka kutengeneza na MUNGU” anaona NIA yako, yatosha?
……. Je Ni lazima uende kwa Kiongozi wa kanisa ili kutubu dhambi? Au maliza mwenyewe kivyako-vyako kama Mwana wa Mungu sawa tu na Kiongozi yoyote maana wote tu Wana, hakuna aliye Mwana zaidi au kupendwa kiuspesheli?
….. Au ni ile ambayo ukishatubu, iwe kivyako chumbani au umeenda kwa Kiongozi wa Ima
No comments:
Post a Comment