Wapi pameandikwa uzazi wa mpango? – Moses Kulola

 




“Ni wapi kuna andiko limeandikwa uzae watoto kadhaa? au palipoandikwa uzazi wa mpango na vidonge vya majira? Una jibu la kumjibu Mungu kwanini unafunga kizazi? Zaeni mkaijaze dunia”

–Askofu Moses Kulola, Uwanja wa Jangwani 19 June 2001



Reactions

Post a Comment

0 Comments