Mhubiri wa kimataifa na Mchungaji Benn Hinn amemuoa aliyekuwa mke wake Suzanne, Jumapili ya tarehe 3 March 2013.
Mchungaji Hinn na mkewe waliachana mwaka 2010. Benny Hinn aliwahi kukiri kwamba “…..mwisho wa ndoa yetu uliniamsha, kama mtumishi wa Mungu na kama mwanadamu, siwezi kufanya kazi vizuri bila mke wangu na familia yangu“
Benny Hinn amewashukuru washirika wake kwa maombi mpaka ameweza kuwa na mke wake tena.
Ni jambo jema la kumshukuru Mungu.
No comments:
Post a Comment