Vyakula Najisi na visivyo najisi!

Share it Please

 


“Akawaambia, Hivi hata ninyi hamna akili? Hamfahamu ya kwamba kila kitu kilicho nje ya mtu, kikimwingia, hakiwezi kumtia unajisi; kwa sababu hakimuingii moyoni, ila tumboni tu; kisha chatoka kwenda chooni? Kwa kusema hivi alivitakasa vyakula vyote.  (Marko 7:18)

Pia

Matendo 10:9-16 “Hata siku ya pili, walipokuwa wakisafiri na kuukaribia mji, Petro alipanda juu darini, kwenda kuomba, yapata saa sita ya mchana, akaumwa na njaa sana, akataka kula lakini walipokuwa wakiandaa, roho yake ikazimia, akaona mbingu zimefunuka, na chombo kikishuka kama nguo kubwa, inatelemshwa kwa pembe zake nne hata nchi, ambayo ndani yake walikuwamo aina zote za wanyama wenye miguu minne, na hao watatambaao, na ndege wa angani, Kisha sauti ikamjia, kusema, Ondoka, Petro, uchinje ule. Lakini Petro akasema, Hasha Bwana, kwa maana sijakula kamwe kitu kilicho kichafu au najisi. Sauti ikamjia mara ya pili, ikimwambia, Vilivyotakaswa na Mungu, usiviite wewe najisi, Jambo hili likatendeka mara tatu, kisha kile chomo kikapokewa tena mbinguni“

Kuna watu ambao bado wanapinga kuhusu ulaji wa baadhi ya vyakula na kuviita najisi, Je wanapingana na Neno la Mungu.

Video chini ni mchungaji Joel Osteen akielezea kwanini waislamu hawali nyama ya nguruwe!


Share this:

No comments:

Post a Comment