Tumeona ndoa nyingi za watumishi wa Mungu zikivunjika au zikiwa katika hati-hati ya kuvunjika kutokana na sababu mbali mbali, ndoa zote zilizo hoi zinahitaji dawa ambayo ni Bwana Yesu!
Karibuni tulishuhudia ndoa ya mtumishi wa Mungu maarufu duniani Benn Hinn Kurejeshwa baada ya kuachana na mkewe kwa muda, zipo shuhuda nyingi za ndoa kurejezwa upya lakini shuhuda mpya ni kutoka kwa mtumishi mwingine maarufu Ron Carpenter ambaye alitengana na mkewe kwa sababu mkewe kutokuwa mwaminifu kwenye ndoa yao.
Mungu ni mwema, anaweza Kuponya!
Mungu aponye ndoa zetu, ombea ndoa za watumishi wa Mungu!
No comments:
Post a Comment