Showing posts with label Swali. Show all posts
Showing posts with label Swali. Show all posts

Mungu anaangalia Moyo tu?


 Kuna makusanyiko ya ibada mbalimbali wanajali mavazi au mwonekano wa nje wa muumini na kama anaonekana tofauti anazuiwa kuingia kanisani, na makusanyiko mengine hawajali. Mfano tuliwahi kujadili suala la mavazi ya akina dada, wakaka waliookoka kuvaa cheni na kutoboa masikio na kuonekana haina madhara kwa mkristo.

Siku hizi fasheni ya kuvaa miwani ya jua, kuvaa kofia na tumia simu kwenye kusanyiko la ibada inaonekana ipo baadhi ya sehemu, Je Mungu anajali haya? Anaangalia Moyo tu?

Read More

Kusikiliza nyimbo za kidunia haifai kwa Mkristo?

 




Bwana Yesu Asifiwe, Wapendwa naomba kuuliza je kusikiliza nyimbo za Bongo fleva(za kidunia) ni dhambi? Na kwa nini ni dhambi? Naomba jibu lako.

–Theodory Constantine

Read More

Mpinga Kristo ni nani?




SWALI


 Mpinga Kristo ni nani?

Sifa za Mpinga Kristoni zipi?

Ni kwa namna gani tukio la Mpinga Kristo linahusiana na Marejeo ya Pili ya Kristo.


—Michael J. N. Siyi

Read More

Matumizi ya Jina la Yesu katika maombezi na Matumizi ya Nguvu za Giza kwa Jina hilo!

 



SWALI


Je mtu anaweza kutaja jina la Yesu Kristo kutoa pepo na kuombea wagonjwa na huku anatumia nguvu za giza?


–Eunice

Read More

Mahala Gani Sahihi Kuvisha Pete ya Uchumba?

 




Wana wa Mungu, Naomba kujua kuhusu pete ya uchumba Je, inatakiwa kumvalisha mchumba wako kanisani, nyumbani kwa wazazi wake, siku ya kutoa posa au kufanya surprise?

–Godfrey E. Kissui



Read More