Tikiti maji ni moja kati ya matunda muhimu sana katika afya yetu
Tunda
hili ni moja ya chanzo cha protini, fati ,Nyuzinyuzi ( fiber ) ,
Calcium, Phosphorus, Iron, Vitamin A, B6, C. Potasium, Magnesium,
Carotene, n.k
Zifuatazo ni faida 10 za kula matikiti maji katika afya yako :
Faida 10 za tikitimaji
1.Hupunguza magonjwa ya moyo
2. Huondoa sumu katika mwili
3. Huzalisha nishati katika mwili
4. Huzuia kansa
5. Husafisha figo
6.Husaidia kupunguza shinikizo la damu
7. Asilimia 92 la tunda hili ni maji
8. Husaidia kupunguza uzito
9. Husaidia kudumisha afya ya macho
10. Husaidia kuponesha vidonda
No comments:
Post a Comment