ALICHOSEMA MZEE WA PAUKO BAADA YA KUZUSHIWA KIFO

Share it Please



Mchungaji Anthony Lusekelo maarufu kama Mzee wa Upako kutoka kanisala maombezi (GRC) siku ya jana habari zilikuwa nyingi kuwa amefariki dunia mara yupo mahututi. Mzee wa upakao amekanusha habari hizo baada ya kupost video akiongea kuwa Yupo salama kabisa na anamshukuru Mungu anaamini ipo siku atakufa lakini sio leo.

No comments:

Post a Comment