CHRISSHALOM NA AY

Share it Please




Chrisshalom muimbaji wa Gospel kutoka Nigeria amepost katika ukurasa wake wa instagram kuwa muda sio mrefu atatambulisha wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la AY . Chrisshalom ametaja majina ya nyimbo zake tatu. Power belongs to you, My beutifier , You are the reason na kusema kuwa hivi sasa tarajia Ay .

1 comment: