MUNGU HATAFUNGUA MILANGO TB JOSHUA

Share it Please

Mtumishi wa Mungu Tb Joshua kutoka Nigeria ameshare na wewe kuwa Mungu hatafungua milango ya hekima kwa yeyote anae weka Biblia chini  na kusema kuwa  anakutia  moyo kusoma neno la Mungu  taratibu na kwa makini tena mara kwa mara pia utafakari katika neno mpaka itakapo kuwa kweli kwako .

No comments:

Post a Comment