TATIZO SIO WEMBAMBA TU NILIKUWA NA DHIKI NYINGI MARTHA MWAIPAJA ( VIDEO)

Share it Please

Martha Mwaipaja muimbaji wa  Gospel Tanzania ameshare na wewe mambo mengi kuhusu maisha yake katika Exclusive interview ya Chomoza tv ameelezea kipindi anatambulisha wimbo wake wa usikate tamaa Martha amesema pamoja na kwamba alikuwa mwembamba alikuwa na dhiki nyingi katika maisha yake na kwamba maisha ya Martha wa leo sio ya jana tazama video hapa chini.

No comments:

Post a Comment