PESA HAIKUFANYI KUWA MTUMISHI MKUBWA ANGEL BENARD

Share it Please

Angel Benard asubuhi leo ametoa somo kwa watu kuwa kuwa na pesa hakukufanyi kuwa mtumishi wa Mungu mkubwa Angel ametoa mfano kwenye biblia. Ambao unaomuonesha Petro katika Matendo ya mitume 3:6 ambapo alisema kuwa sina fedha wala dhahabu lakini nilichonacho ndicho nikupacho .


ANGELBENARDOFFICIAL

Matendo3:6
Lakini Petro akasema, Mimi sina fedha, wala dhahabu, lakini nilicho nacho ndicho nikupacho. Kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareti, simama uende.