GOODLUCK GOZBERT: NILIOMBA KWA AJILI YAKO OMMY DIMPOZ

Share it Please
Ommydimpoz ambae alizungumza katika kipindi cha Dadaz na kusema kuwa wakati anaumwa alikuwa akifarijiwa na nyimbo za Goodluck Gozbert . Goodluck amepost video Ommy akisema hivyo na kusema popote ulipo na unasikiliza nyimbo zake anajivunia wewe lakini pia anakuombea kutoku kata tamaa kwa hali zote.
Goodluck amesema asante Ommy dimpoz niliomba kwa ajili yako na leo nina furaha upo hapa pamoja nasi .

No comments:

Post a Comment