Jessica honore amekukumbusha kuwa katika maisha kuna vifungo vingine havikuachi mpaka umebadilisha mtazamo wako .Jessica amesema ni maombi yake juu yako macho yako ya ndani yakafunguke ukatambue yaliyofichika katika ufunuo wa Kiungu.
OFFICIALJESSICAHONORE
Kuna vifungo havitakuacha paka umebadili mtazamo wako!
Ni maombi yangu macho yako ya ndani yakafunguke na ukaone vyema na ukatambue yaliyofichika katika ufunuo wa kiungu!
Ukaone raha ya uhuru aliokupa Yesu
No comments:
Post a Comment