UFALME WA MUNGU SIO WA HISIA

Share it Please



Mercy Masika muimbaji wa Gospel Kutoka nchini Kenya amesema watu wengi wamekuwa wakisema hawajisiki kuomba mara hawa hisi nguvu ya Mungu kuwepo Mercy amesema huu ufalme wa Mungu sio wa hisia na adui akijua wewe unatembea kwa hisia atafanya chochote kuhakikisha huombi . Atafanya chochote ujisikie uchovu usisome neno la Mungu maamuzi ambayo unatakiwa kufanya ni kuamua kusema mimi nitaomba , mimi sitawaambia watu navyojisikia bali sitaendeshwa na hisia bali na Roho Mtakatifu.

1 comment:

  1. https://gospelsonglovers.com/
    https://gospelsonglovers.com/tag/maverick-city-vol-3-part-1/
    https://gospelsonglovers.com/tag/maverick-city-vol-2/
    https://gospelsonglovers.com/articles/
    https://gospelsonglovers.com/maverick-city-music-doxology-mp3-download-free-lyrics/
    https://gospelsonglovers.com/maverick-city-music-tribl-high-praise-mp3-download-free-lyrics/
    https://holymusik.com/

    ReplyDelete