Ambwne Mwasongwe muimbaji Gospel Tanzania amesema wao wanaosimama mbele za watu wanahatari zaidi amesema watu wengi wanaimba wakidhani wanamwabudi Mungu , wanapiga vyombo kwa ustadi ,wanaruka,wanaomba .Lakini yawapasa kufahamu kuwa tendo lolote la Ibada ambalo halijampa Mungu nafasi ya kwanza haliwi ibada kwa Mungu.
Kama utasimama mbele na kuimba mtazamo wako ukawa ni kuwafurahisha watu basi umewaabudu hao watu kama utacheza step nzuri sana ili watu wakuone basi hujamwabudu Mungu. Umeabudu uliowapa nafasi.
Kama utasimama mbele na kuimba huku mtazamo wako ni kuwafurahisha watu basi umeabudu hao watu, kama utacheza step nzuri sana ili watu wakuone basi hujamwabudu Mungu umeabudu uliowapa NAFASI, kama umefunga ili watu wakuone una uwezo wa kufunga umeshapata thawabu kwa watu hao na si kwa Mungu. NDIO MAANA NI VIBAYA SANA KUTAKA MAONI YA ULIVYOIMBA, HUBIRI, CHEZA NK KWA WATU MAANA UNAKUWA UMEKWAMA KUMUABUDU ANAYESTAHILI KUPOKEA HUO UTUKUFU BADALA YAKE UMEUPOKEA WEWE.
No comments:
Post a Comment