
Chrisshalom muimbaji wa Gospel kutoka Nigeria amepost katika ukurasa wake wa instagram kuwa muda sio mrefu atatambulisha wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la AY . Chrisshalom ametaja majina ya nyimbo zake tatu. Power belongs to you, My beutifier , You are the reason na kusema kuwa hivi sasa tarajia Ay...