Lissu Atangaza Nia ya Kuwania Urais 2020

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu leo amezungumza kwa Mubashara kupitia ukurasa wake wa Facebook akiwa ughaibuni na kutangaza nia ya kugombea Urais nchini Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa October 2020. Lissu amechukua hatua hiyo siku kadhaa tangu John Mnyika, Katibu Mkuu wa Chadema,...
Read More

Waziri Ummy Mwalimu: Serikali imefanikiwa kudhibiti corona

Serikali imesema kuwa imefanikiwa kudhibiti na kupunguza kwa kiasi kikubwa maambukizi ya virusi vya corona huku ikiwataka wananchi kuendelea kuchukua tahadhari ili kuutokomeza kabisa. Hayo yalisemwa leo na Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wakati wa ziara yake ya kushtukiza kwenye kwenye Kituo...
Read More

Rais Magufuli atajwa kati ya watu 10 walioleta mabadiliko Afrika

Utendaji kazi wa Rais John Pombe Magufuli unaendelea kuonekana nje ya mipaka , baada ya Jarida kubwa la African Report kumtaja Kama miongoni mwa watu 10 walioleta mabadiliko makubwa barani AfrikaJarida hilo limemtaja Rais Magufuli kama kiongozi aliyeweza kufanya mapinduzi makubwa katika miradi ya Kiuchumi na kijamii , na kusababisha...
Read More

Ujerumani yasubiri taarifa rasmi ya Marekani

Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani, Annegret Kramp-Karrenbauer amesema Ujerumani haijapokea taarifa rasmi kutoka Marekani kuhusu mpango wa nchi hiyo kuwaondoa baadhi ya wanajeshi wake Ujerumani. Akizungumza leo na waandishi habari, Kramp-Karrenbauer amesema hawezi kuzungumzia taarifa za kwenye vyombo vya habari bila ya kuwepo uthibitisho. Kiongozi...
Read More

Corona imeisha tutafungua Shule za Msingi na chekechea hivi karibu- JPM

“Tulitaka kumpa utawala shetani badala ya kumpa Mungu, nawashukuru Watanzania kwenye corona tumeshinda, nina uhakika hivi karibuni baada ya kufungua vyuo tunaangalia mambo yanavyoenda na shule za msingi, chekechea na nini,  nazo ziko mbioni tutazifungua”-JPM “Tuko pamoja na Walimu, shida tunazijua, nikisahau Mwl. Majaliwa...
Read More