"Tunataka maamuzi ya Ardhi ya Karagwe, yafanywe na watu wa Karagwe, sio wageni tunataka mambo yanayotuhusu wananchi wa Karagwe, Singida, Dodoma au Chato, wafanye wananchi wenyewe, ndio maana ya utawala wa Majimbo tunaouzungumzia"- @TunduALissu
christian online services- East Africa No.1 Gospel platform for Tanzania, Kenya, Rwanda, Burundi and South Sudan
No comments:
Post a Comment