
Askofu mkuu Josephat Louis Lebulu wa Jimbo kuu la Arusha katika mahojiano maalum
na Radio Vatican wakati huu Kanisa Katoliki nchini Tanzania linasherehekea Miaka 150
ya Uinjilishaji anasema, Bagamoyo ni alama ya ukinzani kwani ni kielelezo cha watu
waliokata tamaa ya maisha, kiasi hata...