Pastor David Yongg Cho - Mungu Amlaze Mahala Pema Peponi

 


Mtumishi wa Mungu David Yongg Choo ambaye ndiye aliyekuwa na kanisa kubwa  la wokovu duniani amenyakuliwa na bwana. Mchungaji David atakumbukwa namna alivyo itangaza inchili ya Yesu katika nchi ya Korea na Asia kwa Ujumla. 




No comments:

Post a Comment