Rose Muhando – Bado

 

AUDIO Rose Muhando - Bado MP3 DOWNLOAD

Tanzanian veteran Gospel recording artist, born and raised in Kilosa district, Morogoro region, Tanzania, Rose Muhando known professional as Rose Mhando is back with a new single tagged Bado.

Je, wewe unataka kuona nini ndio mjue yametimia yale ambayo yaliyo andikwa kwenye maandiko matakatifu kuwa Mungu ndie anaesema.

Kwa sababu maarifa ya wenye akili yamefika mwisho pamoja na hekima za wanadamu zimefika mwisho kama ni mapito bado msishangawe maana baragumu la kwanza limekwisha kupiga kanisa lijipange.


No comments:

Post a Comment