#Nabii TB Joshua wa Nigeria amefariki tarehe 5/6/2021 akiwa na umri wa miaka 57.
Nabii alifariki baada ya kumaliza ibada nakuwaaga waumini akisema kuna wakati wa kuja na kuna wakati wa kuondoka ya baada ya kumaliza ibada.
TB Joshua ni mmoja wa manabii wakubwa duniani ambaye amekuwa msaada kwa watu wengi.
No comments:
Post a Comment